Mashirika ya Kiislamu yaanzisha mradi ya kusaidia jamii

  • | Citizen TV
    124 views

    Kufuatia hali ngumu ya maisha miongoni mwa wakenya wengi, baadhi ya wakenya chini ya mwavuli wa mashirika ya kiislamu ya badala jamaat na imo, sasa wanashirikiana kuanzisha miradi ya maendeleo kama mbinu ya kuinua maisha ya wasio jiweza katika jamii.