Mpango wa kuwalinda wakongwe wazinduliwa Kisii

  • | Citizen TV
    333 views

    Washikadau mbalimbali kutoka kaunti nne wanakutana mjini Kisii kuzindua mpango wa kuwalinda wakongwe katika jamii na changamoto zinazowakumba hususan maeneo ya mashinani. Mpango huo unashabihiana na utafiti uliofanywa kaunti za Kisii, Embu, Kilifi na Siaya.