Polisi wachunguza mauaji ya mwanamke mwenye umri wa miaka 33 eneo la Kahawa West

  • | Citizen TV
    8,372 views

    Kwengineko, Polisi Eneo La Kahawa West Wanachunguza Mauwaji Mengine Ya Mwanamke Wa Miaka 33. Mwili Wa Lilian Achieng' Aluko Ulipatikana Nyumbani Kwa Mpenziwe Usiku Wa Ijumaa Ukiwa Na Majeraga Ya Kisu, Huku Mshukiwa Mkuu Sasa Akitafutwa. Haya Yanajiri Huku Sasa Rais William Ruto Akielezea Wasiwasi Na Kuzidi Kwa Mauwaji Ya Wanawake Nchini, Kama Ben Kirui Anavyoarifu