Rais Ruto anazindua mpango wa vijana na mazingira eneo la Korogocho, Kariobangi

  • | TV 47
    65 views

    Rais Ruto anazindua mpango huu leo Korogocho, Kariobangi.

    Mpango huu unalenga kuwapa vijana wa mtaani kazi.

    Aidha mpango huu unalenga kutunza na kuhifadhi mazingira.

    Rais alitoa ahadi hii mwezi uliopita alipokuwa Kisumu.

    Mpango huu umepewa jina ‘Climate Works ’.

    Aidha mpango huu unalenga kukabili hali ya tabianchi.

    Ruto: Mpango utaajiri vijana 200, 000.

    Ruto: Mpango huu utasaidia katika kutunza mazingira.

    Ruto: Mpango huu utahusisha upanzi wa miti.

    Ruto: Mpango huu utasaidia katika kudumisha usafi mijini.

    Ruto: Mpango huu utasaidia kukabili changamoto za tabianchi.

    Ruto: Tulinde maliasili yetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.

    Ruto: Mpango huu utaelekezwa Kisumu, Nakuru, Mombasa, Eldoret.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __