Rais Ruto asema wakati wa siasa umekamilika baada ya kumuondoa Gachagua ofisini

  • | Citizen TV
    10,486 views

    Rais William Ruto Sasa Amewataka Viongozi Wote Nchini Kuweka Kando Siasa Na Badala Yake Kuendeleza Umoja Miongoni Mwa Wakenya. Akihudhuria Hapa Nairobi, Rais Ruto Amesema Sasa Ni Wakati Wa Kuwafanyia Wakenya Kazi Wala Sii Kueneza Siasa Nchini, Huku Akisifia Manufaa Ya Bima Mpya Ya Afya Ya Sha, Kama Stephen Letoo Anavyotuarifu