Rais Ruto ataka wapinzani watoe mpango wao mbadala

  • | Citizen TV
    882 views

    Rais Wiliam Ruto kwa mara nyingine amewasuta wapinzani wake wakisema wana nia ya kumtaka aondoke mamlakani lakini wao wenyewe hawana mpango wa kuongoza taifa. Akizungumza leo katika hafla ya soko la hisa jijini Nairobi Rais amesema wakati wake ukifika ataondoka mamlakani lakini kwa sasa hawezi kung'atuka kwa sababu anajukumu la kuwahudumia wakenya