Ripoti ya TI: ufisadi nchini waongezeka kwa asilimia 17

  • | Citizen TV
    106 views

    Ripoti ya hivi punde ya Transparency International imeonyesha kuwa idadi kubwa ya wakenya hawaripoti visa vya rushwa kwa sababu hawana imani na idara husika.