USTADH amekana kuwapunja pesa wateja

  • | Citizen TV
    526 views

    Kampuni ya kusafirisha watu katika nchi ya Umrah nchini Saudia imejitokeza na kukana madai yaliyoibuliwa na baadhi ya wateja wake kwamba kampuni hiyo imekuwa ikilaghai watu