Vijana Malindi wachakata plastiki kutafuta riziki

  • | KBC Video
    2 views

    Vijana mjini Malindi, katika kaunti ya Kilifi wameamua kutumia ubunifu kujipatia kipato kupitia uchakataji wa plastiki. Mbali na kubunbi nafasi za ajira, mradi huo pia unatoa fursa za kujiinua kiuchumi kwa vijana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive