Wakaazi wa Kuranze wazua hofu kufuatia madai kuwa kuna ugawanyaji na uuzaji wa ardhi ya Kuranze

  • | Citizen TV
    665 views

    Wakaazi wa Kuranze eneo la Kinango kaunti ya Kwale wamezua hofua kufuatia madai kuwa kuna ugawanyaji na uuzaji wa ardhi ya Kuranze kinyume cha sheria. Wakaazi hao wanadai watu binafsi wameanza kupima na kuwauzia watu wasiokuwa na ufahamu vipande vya ardhi hiyo iliyotengewa miradi tofauti ya maendeleo na serikali ya Kaunti ya Kwale.