Wakaazi wa Meru waandamana kushinikiza Gavana Kawira Mwangaza aondoke mamalakani

  • | Citizen TV
    2,784 views

    Wananchi katika kaunti ya Meru wanashiriki maandamano ya kushinikiza Gavana Kawira Mwangaza aondoke mamalakani.