Wanachama wa PAA wauza sera za Kenya Kwanza kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    1,016 views

    Huku zikiwa zimesalia siku 33 Kwa Uchaguzi mkuu WA Agosti 9 kuandaliwa, wagombea Wa viti mbalimbali katika kaunti ya kwale wanaondeleza kampeni Za kusaka Kura Kwa zaidi ya wapiga Kura laki tatu unusu wa kaunti hiyo. Mgombea WA kiti cha ugavana kupitia chama cha PAA Chai Lung'anzi aliongoza misururu ya mikutano ya kisiasa huko kinango kupigia Debe wagombea WA chama hicho.