Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wafanya maandamano kulalamikia mfumo mpya wa uhifadhi wa masomo

  • | Citizen TV
    2,952 views

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wanafanya maandamano kulalamikia mfumo mpya wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu. Wanafunzi hao walioandamana hadi ofisi za wizara ya elimu katika jumba la Jogoo hapa Nairobi wamekosoa mfumo huo wakisema wengi wao watashindwa kugharamia masomo yao.