Wanga adai Gachagua alihusiska na vurugu

  • | Citizen TV
    896 views

    Mwenyekiti kiti wa kitaifa wa chama cha ODM na Gavana wa kaunti ya Homa bay Gladys Wanga ameshtumu vikali baadhi ya viongozi walio hujumu mipango ya maandamano ya amani ya kizazi cha Gen Z