Watetezi wa haki na wakaazi walalamika baada ya Mwalimu Thomas kupigwa risasi Baringo

  • | TV 47
    21 views

    Viongozi, watetezi wa haki za kibinadamu pamoja na familia ya Thomas Kibet, Mwalimu aliyeuawa kwa kupigwa risasi eneo la Ngaratuko Kaunti ya Baringo wamejitokeza kukashifu mauaji hayo huku wakidai haki.

    Wakazi wanasema wamechoshwa na mauaji ya mara kwa mara yanayotekelezwa na wezi wa mifugo.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __