Waziri Migos Ogamba asema kila kitu kiko tayari kwa mtihani wa KCSE

  • | Citizen TV
    580 views

    Wanafunzi 965,000 wanatarajiwa kuandika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne wa KCSE hapo kesho huku Waziri wa elimu Julius Migos akisema kila kitu ki tayari. Wanafunzi walianza mitihani ya majaribio na lugha kabla ya kuanza mitihani ya kuandika hapo kesho