Wizara ya afya kuanza kuwachanja wakenya dhidi ya Mpox

  • | Citizen TV
    515 views

    Wizara Ya Afya Imetangaza Kuanza Kuwachanja Wakenya Dhidi Ya Mpox Kuanzia Mwezi Disemba. Kulingana Na Wizara Hiyo,Chanjo Ya Mpox Itaanza Kuwasili Nchini Hivi Karibuni Kabla Zoezi Hilo Kuanza Mwezi Ujao. Taasisi Ya Kudhibiti Magonjwa Ya Cdc Tayari Imeanza Kutoa Chanjo Kwa Nchi Tatu Za Afrika Miongoni Mwao Drc, Rwanda Na Nigeria.