Jumla ya wanafunzi laki mbili wafuzu kujiunga na vyuo vikuu katika matokeo ya KCSE

  • | K24 Video
    16 views

    Jumla ya wanafunzi laki mbili wamefuzu kujiunga na vyuo vikuu katika matokeo ya KCSE yaliyotangazwa na waziri wa elimu Ezekiel Machogu. Hata hivyo watahiniwa wa kiume wamewapiku wenzao wa kike katika idadi ya alama ya a na masomo ya hisabati na sayansi. Wasichana walitiafora katika masomo ya lugha