Bara limeshindwa kuafikia malengo ya kumaliza njaa

  • | Citizen TV
    69 views

    Bara la afrika limekosa kutimiza malengo yake ya mwaka 2025 ya kumaliza njaa na kupunguza umaskini kwa nusu kupitia kilimo kulingana na mkataba wa malabo