Mji mkongwe wa LungaLunga uko mpakani mwa kenya na Tanzania

  • | Citizen TV
    724 views

    Mji mkongwe wa LungaLunga ulio katika mpaka wa Kenya na Taifa jirani la Tanzania unaendelea kupata sura mpya. Hii ni baada ya serikali ya kaunti ya Kwale kuendelea kuboresha miundo msingi ya mji huo