MPESA Sokoni imetua katika kitovu cha Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    50 views

    Msafara wa Mpesa Sokoni umefika katika kitovu cha Kaunti ya Elgeyo Marakwet, ukiwa katika ziara yake ya kwanza kabisa maeneo ya Chebara, Cheptongei, Kipnai, Kapcherop hadi Moiben. Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imeandaa ziara hii ya kuwafikia wateja wake kwa ushirikiano na vituo vya Royal Media Services – Radio Citizen na Chamgei FM – kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini