Rais anafa kuzindua miradi ya hadhi ya kitaifa - Martin Chomba

  • | Citizen TV
    127 views

    Martin Chomba: Ruto amejaribu kuenda kwenye eneo sio lake. Ruto kwa maisha yake amekuwa mwana siasa. Ukiwa rais wewe ni CEO sio mwanasiasa. Kisiasa amebobea asilimia kwa mia lakini anafeli katika maendeleo na kurejesha serikali hadhi.