Shule ya upili ilipandishwa hadhi na kuwa shule ya kitaifa Olkejuado

  • | Citizen TV
    137 views

    Siku chache baada ya shule ya Wavulana ya Olkejuado iliyoko Kajiado ya kati kupandishwa hadhi ya kitaifa wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Kajiado wametoa changamoto kwa wizara ya Elimu, usimamizi wa shule hiyo pamoja na wazazi kuimarisha miundo msingi shule humo ili kuona na hadhi hiyo