Skip to main content
Skip to main content

Timu za Kenya za mpira wa roll ball zimeingia hatua ya mwisho ya maandalizi kabla ya kombe la dunia

  • | NTV Video
    103 views
    Duration: 1:20
    Timu za kitaifa za Kenya za mpira wa Roll Ball ya wanaume na wanawake zote, wakiwa mabingwa wa dunia, zimeingia katika hatua ya mwisho ya maandalizi kabla ya Kombe la Dunia la 7 la mpira wa Roll Ball, lililopangwa kufanyika Desemba 11 hadi 19 huko Dubai. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya