Vijana wafunzwa kupata ajira za mtandaoni Tinderet

  • | Citizen TV
    275 views

    Mpango wa dola mashinani kupitia ajira mtandaoni umeshika kasi kwenye maeneo mbalimbali kaunti ya Nandi.Vijana wengi kwenye eneo bunge la Tinderet wamejitokeza kukusomea tasnia hiyo na kisha kufanya kazi mtandaoni . Mwanahabari wetu Daniel Korir na mengi zaidi kutoka Kaunti ya Nandi.