Viongozi wa mirengo ya visiasa ni wao hutawanyisha taifa na kuwabagua watu kwenye mirengo ya visiasa

  • | Citizen TV
    247 views

    Ken Echesa: Taifa la Kenya ni taifa lenye umoja. Taifa halija tawanyikika. Ni viongozi wa mirengo ya visiasa ambao hutawanyisha taifa na kuwabagua watu kwenye mirengo ya visiasa. Ni vyema Rais kwanza asisitize kukamilisha miradi iliyoanzishwa na uongozi wa awali ambapo alibahatikata kuhudumu kama Naibu wa Rais kabla ya kuanzihsa miradi mpya