Vyakula vya GMO | Serikali yaondoa marufuku vya uagizaji na ukuzaji

  • | KBC Video
    17 views

    Serikali imeondoa marufuku dhidi ya ukuzaji mimea iliyoimarishwa kisayansi na uagizaji wa mimea ya vyakula vya binadamu na vile vya mifugo. Taarifa ya baraza la mawaziri imesema kuwa hii ni sehemu ya hatua zilizochukuliwa kushughulikia athari za muda mrefu za mabadiliko ya hali ya anga ambazo zimewafanya mamilioni ya wake ya kutegemea chakula cha msaada kutokana na kiangazi kinachoendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #GMO #News