Washukiwa wa mauaji wakamatwa Juja

  • | Citizen TV
    1,749 views

    Polisi katika eneo la Juja kaunti ya Kiambu wamekamata washukiwa wanne wa wizi wanaohusishwa na mauaji ya mlinzi na wizi kwenye eneo la burudani Washukiwa hao wanaripotiwa kujihami kwa silaha kadhaa kabla ya kuvamia eneo hilo jipya la burudani katika eneo la Kimbo saa kumi alfajiri ya leo. Kamanda wa Polisi kaunti ya Kiambi Michael Muchiri anasema kuwa, walinasa silaha butu kutoka kwa washukiwa ikiwemo kifaa kilichokuwa mithili ya bunduki ambacho majambazi hutumia kuwaogofya wanaowalenga. Wamiliki wa mkahawa huu wakielezea namna wamepoteza mali ya thamani ya pesa