Watoto wapata mwokozi kwenye shule maalum

  • | KBC Video
    3 views

    Kwa zaidi ya nusu karne, watoto waliozaliwa na changamoto za kusoma walichukuliwa kama mkosi na mwiko huku baadhi yao wakitengwa na wazazi. Na ilikuwa mwaka wa 1964 ambapo tume ya elimu humu nchini ilipendekeza kubuniwa kwa shule maalum ili kujumuisha watoto kama hao katika masuala ya elimu. Na hali ni ipi baada ya miongo kadhaa? Ripota wetu Ann Mwendwa alizuru shule moja iliyobuniwa miaka-45 iliyopita kutoa elimu kwa watoto walio na changamoto za kusoma na kunakili taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive