Wanawake wa jamii ya Maasai watumia shanga za marembesho kujikimu

  • | Citizen TV
    153 views

    Wanawake wa jamii ya Maasai wamegeuza ustadi wa kitamaduni wa kutengeneza shanga kuwa chanzo cha mapato na chachu ya maendeleo ya kijamii. Katika maeneo ya Kajiado, biashara ya shanga imekuwa mkombozi wa kiuchumi, huku ikihifadhi utamaduni wa vizazi kwa vizazi