Jamii ya Ogiek yataka fedha kuwafidia kwa kuwa na mazingira duni

  • | Citizen TV
    166 views

    Jamii ya Ogiek inayoishi katikati mwa msitu wa Mlima Elgon inasema kuwa ipo haja kwa fedha zinazolenga maeneo kame na maeneo yenye mazingira magumu kuwafikia wanaolengwa kando na inavyoshuhudiwa kwa sasa