Waziri Murkomen afanya mikutano ya usalama na wakaazi wa Samburu

  • | Citizen TV
    398 views

    Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ameongoza kikao cha faragha na wakuu wa usalama wa Bonde la Ufa katika afisi za kamishna wa kaunti kule Samburu kabla kuongoza kikao cha jukwa la usalama katika ukumbi wa alamano mjini Maralal na wakazi wa kaunti hiyo