Kisa cha tano cha maambukizi ya Mpox chadhibitishwa nchini

  • | Citizen TV
    357 views

    Kisa Cha Tano Cha Maambukizi Ya Mpox Kimethibitishwa. Waziri Wa Afya Deborah Barasa Amesema Kuwa Mwanamke Amesema Kuwa Mwanamke Mwenye Umri Wa Miaka 29 Ambaye Ni Mkazi Wa Mombasa Ameambukizwa.