Wanafunzi wanne waandika mtihani wao wa Kitaifa Hospitalini Kaunti ya Busia

  • | West TV
    81 views
    Wanafunzi wanne wa shule tofauti katika kaunti ya Busia wameunza mtihani wa kitaifa wa KCPEna KEPSEA wakipokea matibabu katika hopsitali ya rufaa ya kaunti ya Busia.