21 Nov 2025
- Wakulima katika kaunti ya Machakos wanazidi kupambana na mdudu hatari maarufu Fall Armyworm ambaye amevamia na kuharibu mahindi yao shambani.
21 Nov 2025
- Barabara kuu ya Mombasa kuelekea Malindi inatazamiwa kufunguliwa kwa umma katika siku 10 zijazo ili kutoa fursa kwa watalii na kupunguza msongamano…
21 Nov 2025
- Familia moja eneo la Kibra hapa jijini Nairobi inamtafuta jamaa yao Zablon Onsare mwenye umri wa miaka 20 aliyetoweka tarehe 6 Novemba mwaka huu.…
21 Nov 2025
- Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki anaongoza shughuli ya kuwezesha wananchi kwa kuwapa mtaji wa biashara katika uwanja wa kiaritha-ini enebounge la…
21 Nov 2025
- Wasiwasi ulitanda kwa muda katika hospitali ya Rufaa ya Garissa wakati shirika la msalaba mwekundu pamoja na mashirika mengine kuandaa zoezi la…
21 Nov 2025
- Timu ya pamoja kutoka mamlaka za kudhibiti dawa za kuua wadudu na wale wa usalama kutoka kenya na uganda imetoa onyo kuhusu ongezeko la uingizaji wa…
21 Nov 2025
- Waziri wa Afrika Mashariki na maeneo kame Beatrice Askul amesisitiza dhamira ya Kenya ya kutekeleza sera za kurahisisha biashara ya mipakani mwa…
21 Nov 2025
- Mamlaka ya Kitaifa ya kupambana na Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) ikishirikiana na maafisa wa usalama kaunti ya Kitui imewanasa washukiwa wawili…
21 Nov 2025
- Rais William Ruto leo alitia saini sheria ya kusimamia biashara za serikali, inayotoa nafasi ya kuundwa kwa hazina ya ujenzi wa miundo msingi nchini…
21 Nov 2025
- Huku mtihani wa Kitaifa kwa kidato cha Nne KCSE ukikamilika hii leo visa vya watainiwa kutungwa ujauzito vimepunga kutoka 26 mwaka jana hadi 12 mwaka…
21 Nov 2025
- Waziri wa elimu Migos Ogamba amesema kufikia sasa visa 418 vya udanganyifu wa mtihani wa KCSE vimeripotiwa kote nchini, akisema visa hivyo vimepungua…
21 Nov 2025
- Naibu Kinara wa chama cha Jubilee Dkt. Fred Okeng'o Matiang'i amelalamikia madai ya wapiga kura kuhongwa na viongozi wa kisiasa wa walio serikalini,…
21 Nov 2025
- Huku siku ya kupiga kura ikikaribia tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imekutana na kamati ya usalama kaunti ya Kilifi.
21 Nov 2025
- Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema kuwa wizara yake na idara ya polisi imefanya tathmini ya usalama katika maeneo yatakayoshiriki…
21 Nov 2025
- Jaribio la polisi kuzuia mkutano wa siasa wa mrengo wa upinzani mjini Malava liliambulia patapu baada ya wafuasi wa upinzani kuwafurusha polisi hao.
21 Nov 2025
- Stakabadhi za kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo ujao zimesafirishwa katika maeneo 22 ya kupiga kura Alhamisi ijayo huku tume ya uchaguzi IEBC…
21 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
21 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
21 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
21 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
21 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
21 Nov 2025
- Huku kampeni za uchaguzi mdogo wa Chemundu-Kapngetuny zikiendelea kuchacha, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika Kaunti ya Nandi imewataka…
21 Nov 2025
- Katika siku ya pili ya uchunguzi wa mauaji ya Antony Otieno mwendesha boda boda na mfanyi biashara wa kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni…
21 Nov 2025
- Mamia ya wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wamenufaika na kandarasi mbalimbali kutoka Serikali ya Kaunti kupitia Hazina ya Nawiri, iliyoanzishwa na…
21 Nov 2025
- Kama njia moja ya kuimarisha usalama wa boda boda na kupunguza visa vya piki piki kuibwa katika mji wa kajiado muungano wa boda boda katika mji huo…
21 Nov 2025
- Serikali imetakiwa kuwekeza zaidi katika maswala ya watoto humu nchini ili kuangazia kwa kina changamoto wanazopitia.
21 Nov 2025
- Wakazi wa kaunti ya Bungoma walio na uwezo wa kimapato wamehimizwa kuwakumbuka watoto yatima, ili kuwasaidia kupata malezi bora.
21 Nov 2025
- Bidhaa nyingi kutoka Lamu yakiwemo mabuyu, labania na Achari zimekosa soko nje ya Lamu na matafa mengine kwa sababu ya kutoidhinishwa na shirika la…
21 Nov 2025
- Mgombeaji wa kiti cha wadi ya Narok mjini amehimizwa kujiepusha na fujo badala yake kuendeleza uwiano wkati wa kampeni .
21 Nov 2025
- Maelfu ya Wakenya wakiwemo wanasiasa na viongozi wa serikali walikusanyika katika uwanja wa Ndumberi, Kaunti ya Kiambu katika hafla ya kumuaga…
21 Nov 2025
- Kamishina wa Kaskazini Mashariki John Otieno ameelezea kutoridhishwa kwake na hatua zinachukuliwa na baadhi ya wakuu wa usalama kupambana na ugaidi…
21 Nov 2025
- Wingu la simanzi lilitanda pale miili ya watu 25 walioaga dunia kwenye maporomoko ya ardhi Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, ilipokuwa…
21 Nov 2025
- Familia moja kaunti ya Mombasa inalilia haki baada ya mtoto wa miaka mitano kudaiwa kufariki kwa njia tatanishi.
21 Nov 2025
- Maafisa wa polisi kule Transmara Kusini wanaendelea na msako wa majambazi ambao waliwauwa wafanyabiashara wawili katika soko la Loliondo usiku wa…
21 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
21 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- The Mbeere North By-Election Campaigns intensified with Deputy President Kithure Kindiki and his predecessor Rigathi Gachagua clashing at separate…
20 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
20 Nov 2025
- The confederations of Africa football CAF has honoured President William Ruto for his contribution to the development of football in Africa. The CAF…
20 Nov 2025
- The Kenya deaf basketball team has called on more exposure and adequate preparations before the next deaflympics games. Kenya had a rough time at the…
20 Nov 2025
- The Kenya team at the CAC 2025 African road cycling championships struggled on the opening day of competition dominated by Eritrea, Rwanda and…
20 Nov 2025
- The Capital Markets Authority has fined audit firm EY ten million shillings over its role in Uchumi Supermarkets’ 2014 rights issue. The regulator…
20 Nov 2025
- Safaricom has received approval to issue a 40-billion-shilling medium-term note, signalling renewed momentum in Kenya’s corporate bond market.…
20 Nov 2025
- Chief justice Martha Koome has urged advocates to desist from engaging in actions that undermine or delay cause of justice. Speaking during the…