Palestina: Mwandishi wa Al-Jazeera auawa katika mashambulizi Ukingo wa Magharibi

  • | VOA Swahili
    380 views
    Mwandishi wa Habari wa kituo cha televisheni cha Al- Jazeera Shireen Abu Akleh auawa katika mashambulizi Ukingo wa Magharibi. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.