27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- Uchaguzi wa useneta kaunti ya Baringo ulikamilika bila matukio yoyote makubwa huku usalama ukiwa umeimrishwa katika
maeneobunge yote sita ya kaunti…
27 Nov 2025
- Idadi ndogo ya wapiga kura yashuhudiwa katika wadi ya Kariobangi North
27 Nov 2025
- Idadi ndogo ya wapiga kura ilijitokeza katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ugunja, ambapo wagombea kumi wanapigania nafasi ya ubunge. Licha ya…
27 Nov 2025
- Mkanganyiko, taharuki na madai ya ulaghai yalitawala uchaguzi mdogo wa Wadi ya Narok Town, ambao ulishuhudia idadi ndogo ya wapiga kura. Katika Kituo…
27 Nov 2025
- Shughuli ya kuhesabu kura imeanza katika eneobunge la Mbeere North ambako maafisa wa polisi jioni hii wamekabiliana na baadhi ya vijana waliotaka…
27 Nov 2025
- Katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi mbunge wa Kilifi South Ken Chonga alifurushwa na wafuasi wa chama cha DCP kwa tuhuma za kuwahonga…
27 Nov 2025
- Watu 23 wamekamatwa eneobunge la Kasipul kaunti ya Homa Bay wakati wa uchaguzi mdogo, baada ya kupatikana na mapanga ndani ya magari yao. Aidha,…
27 Nov 2025
- Tuanze katika eneo bunge la Malava ambako uchaguzi wa leo umekumbwa na machafuko na uvamizi huku magari ya viongozi kadhaa wa kisiasa eneo hilo…
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo mbalimbali vya kupigia kura katika wadi za Nyamaiya, Ekerenyo na Nyansiongo katika kaunti ya…
27 Nov 2025
- Licha ya mchakato wa upigaji kura kuendelea kwa amani na bila hitilafu yoyote, idadi ndogo ya wapiga kura imejitokeza katika uchaguzi mdogo wa wadi…
27 Nov 2025
- Zoezi la upigaji kura katika wadi mbili kaunti ya Turkana linaendelea vyema.
Wakazi wa Wadi ya Nanam Turkana Magharibi na Lakezone Turkana Kaskazini…
27 Nov 2025
- Mtu mmoja amejeruhiwa vibaya baada ya kuvamiwa kwenye zoezi la upigaji Kura Katika wadi ya Chwele/kabuchai.
27 Nov 2025
- Katika eneobunge la Ugunja, shughuli ya upigajikura inaendelea huku idadi ndogo tu ya wapigakura ikijitokeza. Wengi wa wanaojitokeza kupigakura ni…
27 Nov 2025
- Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo kadhaa kwenye uchaguzi mdogo wa eneobunge la malava kaunti ya Kakamega. Wakazi wanapiga kura…
27 Nov 2025
- Shuguli ya kupiga kura katika wadi ya Purko Kajiado ya kati, imeanza vyema bila changamoto zozote .
27 Nov 2025
- Wagombea kumi wanapimana nguvu debeni katika uchaguzi wa mbunge Kasipul
27 Nov 2025
- Wapiga kura katika wadi ya Kariobangi North hapa Nairobi wanaendelea kufika katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi mdogo wa kuchagua…
27 Nov 2025
- Mgombea wa DCP Douglas Masikonde alivamiwa jana usiku. Polisi waimarisha usalama katika vituo vya kupigia kura
27 Nov 2025
- Baada ya vurugu kutokea mapema leo katika eneobunge la mbeere north, maafisa wa usalama walidhibiti hali na wapigakura wanaendelea na kutimiza haki…
27 Nov 2025
- Shughuli ya upigajikura inaendelea vema katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi ambapo wakazi 80,128 wanapigakura kumchagua mbunge mpya baada…
27 Nov 2025
- Matukio ya vurugu yameshuhudiwa katika usiku wa kuamkia mwanzo wa chaguzi ndogo maeneo mbalimbali nchini. Kutoka kwa magari yaliyotwkwtwzwa, wagombea…
27 Nov 2025
- Spika wa Seneti Amason Kingi awasihi wakazi wa Magarini kupiga kura kwa amani
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- Kilifi South MP Ken Chonga chased by angry residents in Magarini constituency after he was allegedly suspected to be planning to bribe voters
27 Nov 2025
- A woman arrives at the Mambrui polling station in Magarini, Kilifi County, with her sick child to vote before rushing to the hospital for treatment.
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- Shughuli ya upigajikura inaendelea vema katika eneobunge la magarini kaunti ya Kilifi ambapo wakazi 80,128 wanapigakura kumchagua mbunge mpya baada…
27 Nov 2025
- ODM candidate Boyd Were casts his vote at Agoro Sare primary school. He condemned the attack on Homa Bay Town MP Peter Kaluma
27 Nov 2025
- Idadi ndogo ya wapigakura imejitokeza kushiriki uchaguzi wa seneta mpya wa Baringo. Uchaguzi huo umewavutia wagombea sita ambao wanaazimia kuziba…
27 Nov 2025
- Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo kadhaa kwenye uchaguzi mdogo wa eneobunge la malava kaunti ya Kakamega. Wakazi wanapiga kura…
27 Nov 2025
- Katika eneobunge la Ugunja, shughuli ya upigajikura inaendelea huku idadi ndogo tu ya wapigakura ikijitokeza. Wengi wa wanaojitokeza kupigakura ni…
27 Nov 2025
- Shuguli ya kupiga kura katika wadi ya Purko Kajiado ya kati, imeanza vyema bila changamoto zozote .
27 Nov 2025
- Eneobunge la Kasipul lina wapigakura 67,513.
Wagombea kumi wanapimana nguvu debeni.
Aliyekuwa mbunge Ong'ondo Were alifariki.
27 Nov 2025
- DAP-K candidate Seth Panyako breaks into tears after arriving at Lunyu Primary School to cast his vote
27 Nov 2025
- Vehicle belonging to DAP-K's party leader Eugene Wamalwa was burnt down by goons in the Opposing camp in Manyonje, Butali ward
27 Nov 2025
- Drama in Mbeere North as DP Party Leader Justin Muturi chases away Chinga Ward MCA Kiruga Thuku, alleging he was bribing voters to vote for UDA…
27 Nov 2025
- Kasipul by election Homa Bay Town MP George Kaluma, bodyguard attacked at Agoro Sare; firearm stole
27 Nov 2025
- Shughuli ya upigajikura inaendelea katika eneobunge la mbeere north huku hali ya usalama ikiimarishwa vilivyo. Kufikia sasa hakuna visa vyovyote…
27 Nov 2025
- Taharuki imetanda mjini Narok kufuatia tukio la jana usiku ambako mgombea wa Dcp Douglas Masikonde alivamiwa nyumbani kwake alipokuwa kwenye mkutano…
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- UDA candidate David Ndakwa casts his ballot at Mukongolo Primary School in Malava
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital
27 Nov 2025
- Justin Muturi: We have no plans to plant goons because we can predict the results. I’ve voted here since 1974, so I know the voting patterns and am…
27 Nov 2025
- By-elections 2025: Low voter turnout in Baringo as of 7 am
27 Nov 2025
- #CitizenTV #citizendigital