Kilio cha Vijana Nyamira

  • | Citizen TV
    205 views

    Vijana kutoka Mugirango kaskazini katika kaunti ya Nyamira wamelalamikia ukosefu wa sare, mipira na viwanja kama changamoto kubwa, katika safari yao ya kukuza talanta ya michezo..