Uhifadhi wa Maji Magarini

  • | Citizen TV
    132 views

    Wakaazi wa marafa eneo la magarini wamehimizwa kuhifadhi maji msimu huu wa mvua. Katika hafla ya kusambaza matangi ya maji kwa makundi mbali mbali eneo hilo, viongozi wa kijamii wamewataka wakazi kutumia mbinu hiyo ya kuhifadhi maji ili waweze kustahimili ukame wakati wa kiangazi.